Ankal Na Wazee Wa Kazi, Kazi Kweli Kweli
-
Akiwa kwa Cameroon na Wazee wa kazi wale Serengeti fowarders.Nyama
nimezipenda hizo kumbe hata majuu ni kama hapa kwetu?
Picha kwa hisani ya MICHUZI
Blog hii itakuwa ikijihusisha zaidi na habari za elimu ya utambuzi, Maisha, pilikapilika za hapa na pale na ushuhuda kutoka kwa watu mbali mbali watakaohitaji kuelezea uzoefu wao katika maisha. Naamini pamoja tutasaidiana kuiboresha Blog hii na kuwa ni kitivo cha taaluma hii ya utambuzi. Naomba kuwasilisha.
3 Maoni:
Mmependeza sana lakini Sheyla yuko wapi? Ijumaa Kuu Njema nanyi pia. Mungu Aendelee kuwalinda na kuwabariki !!!
Ijumaa kii njema nanyi pia ...Mnyambili kweli walongo...
Ninmechelewa kidogo lakini AKSANTE na mengine Mkuu MATONDO kamaliza!
Post a Comment