0715 72 92 92

SHABAN KALUSE

Kwa Matangazo na mambo mbalimbali & Wasiliana Nami

Apr 18, 2012

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MUNGA TEHENAN..........!

Kwa wadau wote wa FAJI na waliokuwa wapenzi wa Gazeti la JITAMBUE. Mke wa Hayati Munga Tehenan na wana FAJI, watafanya kumbukumbu ya kifo cha MUNGA TEHENAN. Shughuli hiyo itafanyika katika msikiti wa Kimara na sadaka ya chakula itatolewa katika ofisi za Faji Kimara Rombo.
Bajeti kwa wageni wanaotarajiwa kufikia idadi ya 120 ni Tsh. 631,000. Tunahitaji michango ya wadau kwa hali na mali ili kufanikisha shughuli hiyo. Mtu yeyote mwenye nia ya kuchangia, tunaomba atume mchango kwa M-PESA 0764 461366 au awasiliane na Dr. Johntabata kwa namba hii 0713 250701 au kwa namba yangu 0715 729292

Atakayesoma taarifa hii amjulishe mwenzie……………

2 comments:
Andika Maoni Maoni
  1. Ahsante kwa taarifa hii nitakuwa nanyi kwa sala na maombolezo mengine. Mwenyezi Mungu na amlaze marehemu mahali pema peponi. Tutakukumbuka daima.

    ReplyDelete
  2. sHUKURANI KWA KUTUHABARISHA TUPO PAMOJA

    ReplyDelete

This Blog Designed by DonSoo, Contact 0656212326.DonSoo
Kaa Karibu na Mimi