WANAFUNZI
wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda wao baada ya masomo. Wengine kwa
michezo isiyo na maana, kushinda vijiweni, kutazama televisheni
kupitiliza au kuwa bize na mitandao ya kijamii ambayo siku hizi
imewateka vijana wengi hata ambao hawana faida nayo.
Ukweli ni kwamba wanafunzi wa aina hii,
inawezekana kabisa wakawa wanafahamu au hawafahamu kuwa baada ya muda wa
masomo ni muhimu kuwa na muda wa ziada wa kufanya mazoezi zaidi ili
kupata uzoefu wa kujibu na kuelezea maswali.
Lakini ni muhimu kuwakumbusha ambao
wanafahamu ila hawazingatii kuwa ili kufaulu wanatakiwa wautumie muda
wao baada ya masomo ya kawaida shuleni vyema. Kwanza kwa kuwa na ratiba
ambayo itawaongoza kila siku wafanye nini!
Jambo la kuzingatia pia katika ratiba hiyo ni kuzipa nafasi shughuli nyingine kufanyika. Kwa mfano muda wa kufanya kazi za nyumbani, michezo, kuzungumza na marafiki na kufuatilia vyombo vya habari. Vyote vinatakiwa kuwa kwenye ratiba na kufanyika kwa muda muafaka.
Jambo la kuzingatia pia katika ratiba hiyo ni kuzipa nafasi shughuli nyingine kufanyika. Kwa mfano muda wa kufanya kazi za nyumbani, michezo, kuzungumza na marafiki na kufuatilia vyombo vya habari. Vyote vinatakiwa kuwa kwenye ratiba na kufanyika kwa muda muafaka.
Kwa waliokuwa hawafahamu juu ya suala hili ni muhimu kufahamu ikiwa ni pamoja na kuandaa ratiba yao vizuri na kuifuata pia.
Ushuhuda
ReplyDeleteNilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.
Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:
✅ Maneno ya mapenzi
✅ Tahadhari za Ujauzito
✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!