0715 72 92 92

SHABAN KALUSE

Kwa Matangazo na mambo mbalimbali & Wasiliana Nami

http://www.serenahotels.com/serenadaressalaam/default-en.html

Jul 24, 2014

Uhusiano uliopo kati ya kufikiri kwetu na afya mgogoro...!


http://ip.convio.net/images/content/pagebuilder/11496.jpg

Leo nina kisa nataka kuwasimulia.

Bwana mmoja alikuwa amekwenda kazini kama ilivyo kawaida yake, akiwa ndio anafika kazini akapigiwa simu kujulishwa kwamba nyumba yake inaungua.

Bwana yule akarudi nyumbani haraka huku akijaribu kuwasiliana na watu wa zima moto. Alipofika nyumbani akaikuta nyumba yake ndio inazidi kuteketea kwa moto na hakuna kilichosalimishwa hata kitu kimoja na askari wa zima moto walikuwa hawajafika katika eneo la tukio.

Basi yule bwana akawa amesimama akishuhudia nyumba yake ikiteketea asijue la kufanya. Ulikuwa ni msiba mkubwa sana kwake, kwani ile nyumba ilikuwa ni kubwa na ilimgharimu kiasi kikubwa cha fedha.

This Blog Designed by DonSoo, Contact 0656212326.DonSoo
Kaa Karibu na Mimi