0715 72 92 92

SHABAN KALUSE

Kwa Matangazo na mambo mbalimbali & Wasiliana Nami

Feb 14, 2011

ILIKUWA NI NASIBU AU?

Jana nilitembela kituo chetu cha tiba mbadala kinachoendeshwa na wanautambuzi wenzangu wakiongozwa na Dk. John Simbila na Mwenzie Emmanuel, na katika hali isiyotarajiwa tulijikuta wote tukiwa tumevaa fulana zinazofanana, lakini cha kushangaza zaidi ni pale nilipogundua kuwa hata makubazi (Sandles) alizovaa Dk. John na za kwangu zimefanana vile vile. Kutoka kushoto Dr. John Simbila, katikati ni Emmanuel na anayefuatia ni mimi.

6 comments:
Andika Maoni Maoni
 1. DUH! Hilo bonge la coincidence!


  Au ndio GREAT minds think and DRESS alike nini?

  ReplyDelete
 2. Mumependeza! Ukiangalia kwa haraka licha ya mavazi mnafanana kwa sura!

  ReplyDelete
 3. Ama kweli huu ni mfananisho utafikiri mlijuzana. ila nawaonea wivu makubasi halafi t-shirt tu, na halafu bila kofia duh raha kweli. Ni kweli mmependeza, fananafanana na halafu wote mna nywele fupi:-)

  ReplyDelete
 4. Waoo! mumpeneza saaaaaannnaaaaaa nimetamani na mimi ningekuwepo ingekuwa mpango mzima

  ReplyDelete
 5. Inatokea hasa mkiwa na mtizamo mmoja na hobby sawa

  ReplyDelete
 6. Mie nilidhani mlikuwa katika sare rasmi....hiyo kweli ni bonge la coincidence.

  ReplyDelete

This Blog Designed by DonSoo, Contact 0656212326.DonSoo
Kaa Karibu na Mimi