Utiaji Saini Wizara Miundombinu Zanzibar
-
Katibu Mkuu wa Wizra ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Vuai Iddi Lila
akitia
Saini kwa niaba ya SMZ na Kulia ni Msaidizi meneja Wa Kampuni ya SOGEA ya...
Apr 2, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

5 Maoni:
Tupo pamoja mkuu, pole na majukumu!
Wala usiwe na wasiwasi, we fanya hayo majukumu kwanza. Pamoja daima. Ahsante kwa kutujuza...nimezipenda picha zako:-)
hakika kaka tumekumiss sana pole na majikumu na fikiri utakuja mambo mazuri kabisa ya kutuburudisha nakutuelimisha pia god bless you
Mi nilianza kufikiri labda na wewe umeenda kwenye kikombe, maana sasa hivi kuna cha babu, kuna cha morogoro, tabora na mbeya.
Twakusubiri Mkuu! Kila la kheri katika majukumu!
Post a Comment