0715 72 92 92

SHABAN KALUSE

Kwa Matangazo na mambo mbalimbali & Wasiliana Nami

Nov 10, 2008

MDAU WA ARUSHA!!!!!!!!!

Wapenzi wasomaji wa blog hii, toka jana nimezidiwa na kazi mpaka nimeshindwa kupata muda wa kuandika. Nikiwa bado natafakari, niandike nini, kuna mdau wa Arusha kanitumia picha hii leo asubuhi, nakumbuka mwaka jana nilikwenda Arusha nikiwa likizo ndipo nilipompiga picha mdau huyu, ilikuwa ni wakati namwelezea juu ya wazo langu la kuanzisha Blog hii ya utambuzi.
Mdau huyu kaja na swali anataka kujua, ''kwa nini blog yangu nimeiita Utambuzi na Kujitambua?''
Basi na mimi namwambia anipe muda, nikitulia nitampa jibu kupitia katika blog yetu hii ya Utambuzi na Kujitambua.

No comments:
Andika Maoni Maoni

This Blog Designed by DonSoo, Contact 0656212326.DonSoo
Kaa Karibu na Mimi