0715 72 92 92

SHABAN KALUSE

Kwa Matangazo na mambo mbalimbali & Wasiliana Nami

Nov 13, 2008

UKAME?

Kuna mdau amenitumia hii picha ya ng'ombe, lakini hakunieleza kwamba hii picha aliipiga wapi, na alikuwa anataka kufikisha ujumbe gani kwa wasomaji wa blog hii. Lakini nikiangalia hawa ng'ombe naona kama wamekonda hivi na hii sio ishara nzuri, nadhani hii inaashiria kwamba kuna ukame katika eneo hilo ilipopigwa hii picha. naomba wadau mnisaidie hivi hapa ni wapi?

1 comment:
Andika Maoni Maoni
  1. Hapa kama sio Singida basi ni Kibaigwa.

    Kazi nzuri kaka. Nimesoma makala nyingi. Nitachangia baadae. Tuko pamoja.

    ReplyDelete

This Blog Designed by DonSoo, Contact 0656212326.DonSoo
Kaa Karibu na Mimi