tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post8741251779552967634..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: MAJAMBAZI YALIPOTAKA KUNIULIA MWANANGU USIKU WA JANAAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger17125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-69344955969970067222009-07-16T10:19:28.576+03:002009-07-16T10:19:28.576+03:00aisee, siui nikupe pole au hongera kwa kupata somo...aisee, siui nikupe pole au hongera kwa kupata somo jipya? yamenikuta nami kama hayo hivi karibuni.

ni mambo ya kawaida tu kwani yapokamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-58601212299279228682009-06-29T17:30:11.922+03:002009-06-29T17:30:11.922+03:00Pole haichelewi. Nadhani bado sijachelewa kuungana...Pole haichelewi. Nadhani bado sijachelewa kuungana na wafariji wote waliopita kukupa pole.

Nilizipata habari hizi kupitia barua pepe ya mwanablogu mmoja aliyejua sikuzipata habari hizi kupitia blogu.

Tukio hili linasikitisha. Linaumiza kimwili na kiufahamu. Pole sana Shabani.

Nimeshukuru kuona umelichukulia tukio hili kwa mtazamo wa 'zaidi ya kinachoonekana'.

Nakutakia utulivu katika kipindi hiki kizito. Vilivyopotea, utavipata maadam u hai.

Pole sana wewe na familia yako.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-27771028751719010472009-06-25T09:17:58.771+03:002009-06-25T09:17:58.771+03:00Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wasomaji n...Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wasomaji na wanablog wenzangu wote walioungana nami katika kunipa pole juu ya mkasa huu ulionipata.
Kikubwa kwangu ilikuwa ni uhai wangu na wa familia yangu, pesa na makorokoro mengine yaliyochukuliwa si kitu kikubwa kwangu.
Hii kwangu ni kama chngamoto na nimejifunza kitu kimoja muhimu sana kutokana na mkasa huu, kuwa hata kama eneo unaloishi lina usalama kiasi gani, swala la kuchukua tahadari pia ni muhimu sana,kama nilivyosema kuwa huwa tunajifunza kwa kila jambo, liwe baya au zuri, pia nimejifunza kuwa pengo kati ya walio nacho na wasio nacho linapokuwa kubwa, usitegemee kuwa majambazi watawafuata wale wenye ukwasi mkubwa pekee, hata sisi tunaoonekana tukitoka asubuhi na mikoba kwenda makazini na kurejea jioni tutaonekana tumeyamudu maisha kwa mtazamo wao.
Kuna kujifunza kwingi juu ya tukio hili, na hili kwangu litaendele kuwa somo muhimu.
familia yangu bado haijarudi katika hali ya kawaida kutokana na kukumbwa na jakamoyo tangu kutokea kwa tukio hilo na bado tunajiuguza taratibu huku tukiendelea kufarijiwa na majirani zetu.
Nawashukuru sana.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-82600476995695651032009-06-24T19:14:01.791+03:002009-06-24T19:14:01.791+03:00Nianze kwa kusema SHUKRANI KUWA U-MZIMA NA UNGALI ...Nianze kwa kusema SHUKRANI KUWA U-MZIMA NA UNGALI HAI na tunaweza kusoma tukio halisi toka kwa mtu aliyekumbwa na ambaye bado yu-hai. Pili nasema POLE SANA kwa mkasa huu na kwa kumbukumbu mbayailiyoachwa akilini mwako, mkeo na kwa mtoto Abrahamu. Lakini kama "Katika kujifunza kwangu maarifa haya ya utambuzi nimegundua kwamba
Matukio yote tunayokutana nayo yanakuwa yanatufundisha jambo fulani muhimu maishani." Japo kujifunza huku kwaweza kutofautiana kulingana na mtazamo, lakini tukubaliane kuwa YAONESHA PESA IMETANGULIZWA MBELE KULIKO UHAI WA WATU. Na sitashangaa kama polisi nao watataka uwalipe kitu kidogo ili kuweza kuwasaka waliokuibia. Yaani dunia imeingizwa katika akili za kufikiri pesa ndio kila kitu na kudharau maisha na madhara ya kisaikolijia yanayoweza kuwawinda watu na hasa watoto kama Abrahamu. Aliyosema Da Subi ni kweli kuwa yaweza kuchukua miaka kadhaa kwa taswira mbaya za hivyo kutoka ama kuzoeleka akilini mwa shuhuda.
Pole sana na naamini utafanya ustaarabu wa kumsaidia mwana kuepukana na njozi mbaya za hili tukio.
POLE KAKAMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-75300557663814425932009-06-24T13:18:35.485+03:002009-06-24T13:18:35.485+03:00Duh!Hii iansikitisha na kuhuzunisha, Yaani kama al...Duh!Hii iansikitisha na kuhuzunisha, Yaani kama alivyosema dada Yasinta na dada Subi, hata miimi nlikuwa nasoma huku mwili ukinisisimka na mapigo yangu ya moyo yakienda kasi.
Hawa watu ni wabaya na sitsiti kusema kama wakipatikana wanstahili kifo, hivi kutaka kumuaa malaiaka wa watu Abrahamu ndio nini?
Pole sana kaka Kaluse kwa mkasa huo na mungu atakurudishia vitu vyote vilivyoibwa na ziada pia, na hao maharamia mungu atawaangamiza...
habari hii imenisikitisha sanaKoero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-6286607651621811072009-06-24T01:41:11.270+03:002009-06-24T01:41:11.270+03:00Pole kaka na masahibu yote,mungu atakufanyia wepes...Pole kaka na masahibu yote,mungu atakufanyia wepesi kupata vilivyopotea ktk tukio hilo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-22514855205840282762009-06-23T18:54:56.101+03:002009-06-23T18:54:56.101+03:00Pole?Pole?katawanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-4426952709645624332009-06-23T16:59:42.652+03:002009-06-23T16:59:42.652+03:00dah pile sana ndugu yangu yaani sina hata la kusem...dah pile sana ndugu yangu yaani sina hata la kusema, nchi yetu!!!mumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-75865860255843665912009-06-23T16:28:28.242+03:002009-06-23T16:28:28.242+03:00Pole sana Bwana Kaluse. Kwa kuwa wewe ni mtu wa Ut...Pole sana Bwana Kaluse. Kwa kuwa wewe ni mtu wa Utambuzi natumaini tukio hili unaliangalia kwa mtazamo unaofaa zaidi. Bora uzima tu.Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-7491183923000771032009-06-23T15:48:20.149+03:002009-06-23T15:48:20.149+03:00Poleni sana!Poleni sana!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-58986276612880913492009-06-22T21:16:56.213+03:002009-06-22T21:16:56.213+03:00Pole sana kwa yaliyokusibu. Mali zinaweza kununuli...Pole sana kwa yaliyokusibu. Mali zinaweza kununulika upya, cha msingi ni uhai wako na familia yako.Faustinehttps://www.blogger.com/profile/17253666093262801440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-39454219551249108972009-06-22T16:18:35.154+03:002009-06-22T16:18:35.154+03:00Pole sana kaka.Mungu hakukutupa nawe usimtupe pia...Pole sana kaka.Mungu hakukutupa nawe usimtupe pia maana amekuwekea kusudi la kitendea kazi ili ukitumie kwa kurudisha vilivyopotea.jamani kamalaika hako kana kosa gani? Thx to Gud!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-49073460079681209912009-06-22T13:43:42.639+03:002009-06-22T13:43:42.639+03:00Tumshukuru Mungu kwamba roho yako hawajaichukua, v...Tumshukuru Mungu kwamba roho yako hawajaichukua, vitu walivyochukua mungu atakupa tena zaidi ya hivyo. pole sana kwa mkasa huoBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-34276456631935787942009-06-22T13:42:25.582+03:002009-06-22T13:42:25.582+03:00Pole sana bwana kaluse kwa mkasa uliokupa.Pole sana bwana kaluse kwa mkasa uliokupa.Nuru Shabaninoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-17576116696275782602009-06-21T18:53:52.684+03:002009-06-21T18:53:52.684+03:00Namshukuru Mungu kuwa mko maishani. Hivyo vifaa si...Namshukuru Mungu kuwa mko maishani. Hivyo vifaa sio kitu kwani utanunua vingine lakini roho hazinunuliwi. Hata nami nimesoma huko nasisimka. Pole sanaYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-28555955222970294602009-06-21T18:48:01.236+03:002009-06-21T18:48:01.236+03:00Naungana na kaka Fadhy kuwa habari hii kuisoma ina...Naungana na kaka Fadhy kuwa habari hii kuisoma inasisimua.
Kaluse,
Nimesoma kwa masikitiko makubwa sana kisa na mkasa ulioikumba familia yako. Imenikumbusha sana uvamizi uliofanyika katika nyumba yetu ningali mtoto mdogo (miaka 11), tukio lile lilinipa wasiwasi mkubwa kwa miaka takriban kumi iliyofuatia, usiku ulikuwa adui yangu kwani nilikuwa nashindwa kupata usingizi na kuweweseka, hadi sasa nimekuwa mtu ninayependa kuwa macho zaidi usiku na kulala mchana hata kazi ninayofanya ni ya zamu ya usiku badala ya mchana.
Poleni sana ila ashukuriwe Mtoa Uhai na Uzima aliyeinusuru familia yako mbali na mauaji.
Ni vyema ulivyofanya kuripoti polisi, tafadhali fuatilia na uweke kumbukumbu ya safari za polisi ili iwe rejea kwa maisha ya mbeleni (kwako na watu wengine pia).
Vitu vimepotea lakini vitarejea uhai ungalipo.
Pia, Heri kwa sikukuu ya Baba duniani.Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-67484164988442951882009-06-21T18:28:44.068+03:002009-06-21T18:28:44.068+03:00Pole sana kaka kwa mkasa mzito ulokukumbwa pamwe f...Pole sana kaka kwa mkasa mzito ulokukumbwa pamwe familia yako.
Nimesoma huku mwili ukinisisimka mno. Tunamshukuru Mungu mu salama. Vitu vilivyochukuliwa si hoja ingawa umerudishwa nyuma. Cha muhimu mmenusurika.
Mungu awape faraja na kuwaongeza maradufu ya pale mlipodhulumiwa.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com