tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post8392562159275238295..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: BINTI ALIYESHANGAZA FAMILIA KWA VISA-SEHEMU YA MWISHOAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-73215778474055542632017-02-08T19:47:31.170+03:002017-02-08T19:47:31.170+03:00ni habari nzuri na ya kufundisha, kumbuka Mungu Mw...ni habari nzuri na ya kufundisha, kumbuka Mungu Mwenyewe ndo agawaye
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16909817779861461268noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-89198253230579721822009-12-01T06:57:34.647+03:002009-12-01T06:57:34.647+03:00Hii habari inasikitisha sana, ila huyu mtoto aliku...Hii habari inasikitisha sana, ila huyu mtoto alikuwa kama ni neema kwa wao kupata mtoto wao halisi.
Ahsante kwa kuweka hapa, maana mie sikuwahi kusoma.
Dada F.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-22761759596529981072009-11-29T11:33:03.041+03:002009-11-29T11:33:03.041+03:00DUH!DUH!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-61572453461598034772009-11-28T17:59:57.021+03:002009-11-28T17:59:57.021+03:00To become a parent is also a challenge. Ni fundish...To become a parent is also a challenge. Ni fundisho kwa ulimwengumdoti Com-komhttps://www.blogger.com/profile/02606718465671615599noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-51279953540198941682009-11-27T13:42:19.162+03:002009-11-27T13:42:19.162+03:00kazi nzito hiyo
bila shaka alikufa huyo mtoto aka...kazi nzito hiyo

bila shaka alikufa huyo mtoto akaamua kuleta faraja kwa wanandoa hao

miujiza? pengine ipoChacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-67813874968146014702009-11-27T13:38:18.913+03:002009-11-27T13:38:18.913+03:00Ndugu usiye na jina, habari hii ni ya kweli kabisa...Ndugu usiye na jina, habari hii ni ya kweli kabisa na iliwahi kuandikwa katika gazeti la Jitambue Kitambo kidogo...ila kwa kutaka kuwakumbusha wasomaji wa blog hii nimekuwa nikiweka baadhi ya ushuhuda uliwahi kuandikwa katika gazeti hilo ambalo mimi nilikuwa ni mmojawapo wa waandishi wake kabla ya kusitishwa kuchapishwa kwake kutokana na kifo cha mmoja wa wamiliki na aliyekuwa mhariri mkuuu wagazeti hilo, hayati Munga Tehenan.

Kuhusu Picha, kwa kweli haina uhusiano wowote na habari hiyo ila niliweka tu kama taswira ya kunogesha makala hiyo.

Unakaribishwa kama unao mchango au maoni yoyote juu ya mada zangu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-69383680146292455812009-11-27T12:35:13.151+03:002009-11-27T12:35:13.151+03:00HII HABARI INASIKITISHA NA KUSISIMUA!! JE HABARI Y...HII HABARI INASIKITISHA NA KUSISIMUA!! JE HABARI YA KWELI?? MAKE IMAISHA WAKATI IMEANZA KUNOGA. NAOMBA NIJUE HILO. NA PHCHA ILIYOKO KWENYE HABARI NDO BINTI MWENYEWE ALIYEKUWA NA VISA KWA FAMILIA YAKE??Anonymousnoreply@blogger.com