tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post6426500059147282309..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: KWA NINI WATU WAKUCHUKIE WEWE TU?Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-91550742579986665442022-03-31T22:34:13.536+03:002022-03-31T22:34:13.536+03:00kibaaashabani@gmail.comkibaaashabani@gmail.comAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/05484142033825109211noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-11401615537455185022009-01-09T13:24:00.000+03:002009-01-09T13:24:00.000+03:00Waungwana nawashukuru sana kwa maoni yenu.Mada za ...Waungwana nawashukuru sana kwa maoni yenu.

Mada za utambuzi zinaendelea kamakawaida.

Dada Koero nadhani Mzee mwenzangu wa Utambuzi Kamala Luta amenisaidia kujibu swali lako.

kama unayo maswali zaidi niwekee humu nitakujibu au wadau wengine watanisaidia kujibu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-83000295450976706462009-01-08T20:19:00.000+03:002009-01-08T20:19:00.000+03:00Kuchukiwa kupo na hakutaisha kama kupendwa tu!Mpak...Kuchukiwa kupo na hakutaisha kama kupendwa tu!

Mpaka mshikaji Yesu akauawa kwa kuchukiwa wakati yajulikana alikuwa ni mchizi ahusuduye na aenezaye amani tu.

Ukijijua , kujielewa na kuchukua muda kujaribu kumuelewa ´jirani yako ni rahisi kuepusha baadhi ya maswala yasiyo ya lazima yawezeshayo kuchukiwa bila sababu.

Na mara nyingine ni tafsiri tu ya upendo ni nini. Kuna hata ujuao kuwa wanakupenda lakini wakasema hawakupendi kihivyo ndiomaana wanakunyima uroda, Kijeba unaweza kutafsiri unachukiwa.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-40750542403203898462009-01-07T20:13:00.000+03:002009-01-07T20:13:00.000+03:00koero, tatizo la huyo ant yako ni kwamba anajichuk...koero, tatizo la huyo ant yako ni kwamba anajichukia yeye kwa kudhani kwamba kwakuwa hajasoma basi ni mbaya na wala sio ndugu zake.

we mpende tukamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-38050465867674484032009-01-07T12:46:00.000+03:002009-01-07T12:46:00.000+03:00Sehemu nyingine ya maisha ni kujua mipaka yako juu...Sehemu nyingine ya maisha ni kujua mipaka yako juu ya nini unaweza kufanya na nini huwezi. Pia kujua ni nani yuko kama wewe na nani yuko tofauti. Kujua unayeweza kumridhisha na ambaye hutaweza kwa namna yoyote ile. Kwa ujumla tunaweza kuhisi tunachukiwa kwa kuwa ama tunataka wote watupende au tupende na kuridhisha wote. Lakini pia lazima tutambue (kama ulivyosema) kuwa watu wako tofauti na kuna walio kama wewe na walio tofauti. Kwa hiyo kung'ang'ania kutaka kumridhisha na aa kuridhishwa na kila mtu kutakufanya ujipoteze wewe mwenyewe na kisha ujihisi uko tofauti na hatimaye kudhani wachukiwa na hapo utajichukia. Siamini kama kuna anayeweza kupendwa na watu wote na NAJUA FIKA KUWA HAKUNA ANAYEWEZA KUCHUKIWA NA WATU WOTE, kwa hiyo ukweli ndio huo mliousema wadau, kuwa ukijihisi kuchukiwa na kila mtu, basi pengine wataka ambavyo hawawezi kufanya na hapo tayari tatizo litakuwa ni wewe na si wao.
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-14858997469215147582009-01-07T12:01:00.000+03:002009-01-07T12:01:00.000+03:00Ninae shangazi yangu, alishindwa kuendelea na maso...Ninae shangazi yangu, alishindwa kuendelea na masomo kwa sababu alibeba ujauzito akiwa kidato cha pili, sheria ya mfumo dume ikamtupanje.

Sasa hivi kaolewa na anishi na mumewe kwa kubangaiza.

Shangazi yangu huyu ni mlalamishi kweli kila nikienda kwake analalamika eti ndugu zake wanmchulia yeye na mumewe kwa kuwa hawakusoma na ni masikini.
baba amejitahidi kumpa misaada ya kila aina lakini haishi kulalamika.

Kila siku analalamika ndugu hawampendi, majirani wanamchukia, yaani kila mtu hampendi.

Sasa sijui ni printi hii makala nimpelekee au nitazua ugomvi.

hebu nipeni ushauri.Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-29121578246626320522009-01-07T07:42:00.000+03:002009-01-07T07:42:00.000+03:00Kuwa wewe acha wengine wawe wao pia hutahisi kuchu...Kuwa wewe acha wengine wawe wao pia hutahisi kuchukiwa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-67724564822928728032009-01-06T18:33:00.000+03:002009-01-06T18:33:00.000+03:00kwani wewe unajipenda na unajua jinsi ya kujipenda...kwani wewe unajipenda na unajua jinsi ya kujipenda? kama hujui lazima uchukiwe tu na utachukiwa sana mwaka huu.

jifunze kujipenda ili nawewe upendwe ndugu. vinginevyo unajichukia na unachokiona kwa wenzio sio chuki zao bali zako, wao ni kioooooooo mirrorkamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-4003762413199598492009-01-06T18:13:00.000+03:002009-01-06T18:13:00.000+03:00"...Tafadhali kama imetokea ukahisi kwamba watu fu..."...Tafadhali kama imetokea ukahisi kwamba watu fulani wanakuchukia, au hawakupendi inabidi uanze kujiuliza bila kujipendelea kama wewe sio chanzo cha chuki hizo..." Hapa ni mwake kabisa.

Sasa Kaluse, naomba msaada kwa wadau, namna tunavyoweza kujua ikiwa chanzo cha matatizo ni sisi ama hao wasiotupenda.

Napenda kazi kama hizi. Nikisoma huwa siwezi kukaa vizuri kwenye kiti. Safi sana kaka.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-30450184340080044892009-01-06T18:06:00.000+03:002009-01-06T18:06:00.000+03:00Ahsante kwa kunitembelea kaka Mpangala.Kuhusu hiyo...Ahsante kwa kunitembelea kaka Mpangala.
Kuhusu hiyo Aggregator, nimejaribu nimeshindwa naomba anyefahami zaidi anielekeze namna ya kuweka, anweza kutoa darasa lake hapa hapa.

hata wewe Mpangala kama unaweza kunisaidia karibu, nakaribisha mchango wako.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-66742918161980186352009-01-06T17:19:00.000+03:002009-01-06T17:19:00.000+03:00smahani OMBI, kaka tuwekee aggregator/kikusanya ha...smahani OMBI, kaka tuwekee aggregator/kikusanya habari za blogu zingine au unaonaje? kwaheriiiiii kwa leoMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-67889726305936383912009-01-06T17:17:00.000+03:002009-01-06T17:17:00.000+03:00duu wananichukia sababu najivunia elimu, pengine m...duu wananichukia sababu najivunia elimu, pengine maisha yangu ya aghali, au labda baba yangu yupo USA au pengine bitozi au majivuno yangu yamewachosha.
mmmmm somo kali kaka Nitarudi tena nangojea mambo ya kaka Simon na wengineMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.com