tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post5448815781118980642..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: MKUTANO WETU NA WANABLOG WENZANGU NA KILE NILICHOKISHUHUDIA BUGURUNI.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-52536240073030113962010-05-28T18:27:38.511+03:002010-05-28T18:27:38.511+03:00Nawashukuru nyote mliosema. Nyote mnaonesha kugus...Nawashukuru nyote mliosema. Nyote mnaonesha kuguswa sana na jambo hili. Hali inatisha sana pale Buguruni.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-81107867958298652142010-05-23T15:18:43.475+03:002010-05-23T15:18:43.475+03:00mie ni mgeni hapamie ni mgeni hapaMaisara Wastarahttps://www.blogger.com/profile/06507545821314552574noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-39266730011069726022010-05-21T19:36:25.398+03:002010-05-21T19:36:25.398+03:00Usiposikia....
Habari ya hao malaya hapo Bug inati...Usiposikia....
Habari ya hao malaya hapo Bug inatisha sana.chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-69705847778322790382010-05-20T15:39:40.974+03:002010-05-20T15:39:40.974+03:00Hiyo ni SIDE B ya stori: Je si kuna wale wadada to...Hiyo ni SIDE B ya stori: Je si kuna wale wadada toka familia bora huko Masaki, maikocheni, mbezi bichi na Ostabei wanaouza 'out of fun, na kujiongezea kipato?'

HAWAITWI MALAYA, ama?

Kuna wake za watu tena wengine ni wazito kabisa wanafanya hiyo mineno.

Kuna wale wanawake wanaokwenda na wachungaji/mapadre na masheikh na utakuta bill za nyumba/shule na matumizi mengine yanatolewa out of our SADAKAz :-(

Ninazungumza hayo kwa kujua kuna Mama Mchungaji Muamshaji humu kijiweni lakini pia asinihukumu kwa kuwa naongea kutokana na uzoefu wa kufanya kazi na 'Women Engaged in Transactional SEX'

NA: ni lini wababa nao wataitwa MALAYA. at least mnipe tarehe, ama? :-(o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-64242534616052140422010-05-19T11:00:01.568+03:002010-05-19T11:00:01.568+03:00aisee!aisee!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-77878098794621852792010-05-17T22:31:15.198+03:002010-05-17T22:31:15.198+03:00Umenikumbusha sana kaka, PALE Sewa Bar upande wa p...Umenikumbusha sana kaka, PALE Sewa Bar upande wa pili yaani ng'ambo ya barabara pana nyumba ya wageni inaitwa M.K yule mhudum nilikwisha kumhoji siku fulani akanieleza anazo namba za simu za wanawake wanaojiuza.

Nilimwambia aniitie mmoja. Nikampata na nikaweka mida ya kuzngumza naye. hakika alikuwa mke wa mtu na alinieleza anafanya hivyo baada ya kuchanginyikiwa kidogo baada ya kuchwa. ANAWAITA WANAUME MATAPELI na anaomba mungu arudiane na mumewe. Kwa kweli habari za buguruni ni masikitiko. Nawambia pana gesti naifahamu nilkwisha kufanya upekuzi wa kuhesabu kondomu katika chombo cha taka, lakini hata zingine hazikutumika, nilijiuliza sana. Nilifanya hivyo kwakuwa mmiliki ni mtu aliyepo karibu sana nami. BUGURUNI kipindi cha likizo za wanafunzi pana wanafunzi wengi hujiuza na hii ni mda ndefu sana kuisimulia. Nashukuru kaka umehoji maswali muhimu sana. yanafikirishaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-1511997565658170482010-05-17T19:24:28.997+03:002010-05-17T19:24:28.997+03:00Ama kweli ni jambo zuri sana mnalolifanya kutuwaki...Ama kweli ni jambo zuri sana mnalolifanya kutuwakilisha wanablog- Ni bahati ya pekee sana kukutana kama mlivyofanya.

Hili jambo sijui litaendelea mpaka lini nimesoma kwa Mtakatifu Simon mada moja amesema watu kutoa michango ya harusi wanapenda sana lakini kujenga zahanati hakuna. Ni sawa na hapa kuna vijishughuli vingi ambavyo wasichana hao wangeweza kufanya. Saerikali inaona jambo hili lakini halishughulikii kabisa. Kwa kweli kinachotakiwa ni viongozi wapya wenye mawazo mapya waNAOTAKA NCHI YETU IENDELE. Na viongozi hao ni sisi tuamke sasa na mawazo yetu yatoke nje yatumike. Nina huzuni sana kusema haya na kusoma kila wakati habari hizi.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-59275579785983628002010-05-17T11:15:22.072+03:002010-05-17T11:15:22.072+03:00Kukutana kwa wanablogu ni jambo la faraja sana, in...Kukutana kwa wanablogu ni jambo la faraja sana, inaonyesha blogu ni kiungo muhimu cha watu kufahamiana.
Habari ya makahaba na watumiaji madawa ya kulevya inasikitisha sana.
Ninaamini mwanaharakati Koero Mkundi atakuja japo na wazo fulani ambalo litatusaidia kutafuta ufumbuzi.
Ahsante Kaluse kwa mada hiiUpepo Mwananahttps://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.com