tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post5316267890521432806..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: UMESHAWAHI KUONA MTU ANAFUMANIWA KWA MKEWE WA NDOA?Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-18257707865509112062011-05-10T14:24:26.738+03:002011-05-10T14:24:26.738+03:00Na huyu Ramadhani naye,....! si alimshindwa akamru...Na huyu Ramadhani naye,....! si alimshindwa akamrudisha kwao, sasa nini tena. Mwanamke nae anavutwa vutwa tu na yeye yumo tuuuu, aaaargh!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-9228160302641770892010-07-23T15:14:29.125+03:002010-07-23T15:14:29.125+03:00Nilichoona zaidi hapa ni ugumu wa maisha na kumfan...Nilichoona zaidi hapa ni ugumu wa maisha na kumfanya mwanamke kuwa kama bidhaa katika jamii. Kwanini aozwe kwa mtu mwingine kwa tamaa?? Hata inavyoonyesha ni kwamba mwanamke hakuolewa kule kwa kupenda nandio maana haikumchukua muda kurudi. Wakati sasa umefika wa kuacha kuwafanya wanawake kama bidhaa na hili linaweza kufanyika kwa kushusha mahari na kuwa kitu kidogo kinachoashiria heshima kwa mila zetu. Mfano mzuri ni ule ambao juzi juzi kuna kijana alichajiwa shilingi elfu kumi na tano za bongo na ndoo ya plastiki!! Hii ni katika kuonyesha heshima yetu kwa mila zetu na si sababu za kiuchumi...Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07722344478243372930noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-28658705720082066012010-07-22T12:32:38.079+03:002010-07-22T12:32:38.079+03:00CRAZY WOMAN,,YUPO TUU NAYE HUYO MWANAMAMA ANAFANYW...CRAZY WOMAN,,YUPO TUU NAYE HUYO MWANAMAMA ANAFANYWA KAMA MPIRA MBOVU,,HANA SAUTI WALA MSIMAMO ..INASIKITISHA KUWA NA KESI ZA KITAPELI KAMA HIZI,,PIA KATIKA UPANDE MWINGINE,,HUYU MWANAMAMA ANAWEZA AKAWA TAPELI...

IlAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-63133802171296501452010-07-21T13:12:39.328+03:002010-07-21T13:12:39.328+03:00Aaah, mimi nafikiri wangefuata dini isingekuwa na ...Aaah, mimi nafikiri wangefuata dini isingekuwa na tatizo si kuna kuulizwa `nani mwenye pingamizi' kukiwa kimya mara tatu jamaa ni wake, lakini sasa mpangaji na aliyekuwa kaoa awali alikuwa safari iweje!
Mimi kwanza nashngaa watu hufungwa ndoa za kidini wakigombana wanaenda mahakamani ili iweje, mahaka ndio iliyowafungisha ndoa, nafikiri wangerejea kwa waliofungisha ndoa wakahukumiwa huko...naona wanaogopa manake ukienda kwenye dini ndoa sio rahisi kuvunjikaemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-26647891665960482692010-07-20T18:40:05.130+03:002010-07-20T18:40:05.130+03:00Kweli dunia ina mambo.
Ila nilipoiona picha ya md...Kweli dunia ina mambo.

Ila nilipoiona picha ya mdada huyo hapo juu wa Kimasai mzungu nikajua ndi Mwanaidi mwenyewe. Kumbe ni mawazo tu siyo lazima yawe halali.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-67206143264303663892010-07-20T17:11:44.407+03:002010-07-20T17:11:44.407+03:00Jamani eeeeeeh, yaani humu duniani kuna visaaa.Jamani eeeeeeh, yaani humu duniani kuna visaaa.chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.com