tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post5147424138634128725..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: NI MAMA! SEHEMU YA MWISHOAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-77239105651170404962009-11-22T09:30:35.322+03:002009-11-22T09:30:35.322+03:00Ninanukuu "Alinyamaza na kuendelea kusema, &#...Ninanukuu "Alinyamaza na kuendelea kusema, 'najua unafahamu kwamba, mama yako alikwishafariki, lakini akina mama wanpofariki, hurudi kwa njia nyingine, kuja kuwapenda tena watoto wao. Nimerudi kuja kukupenda ili usome na kufika mbali sana. Lakini usimwambie mtu. Mimi ni mama yako, nataka nikuone ukiwa shujaa kama wakati ule ulipokuwa mdogo….’ Alitulia kidogo, alikuwa akilia." mwisho wa kunukuu. Kipande hiki nimerudia kusoma sijui mara ngapi huku machozi yakinititririka. Nimejifunza kitu katika mkasa huu. usengwili!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com