tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post4160315963555378239..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: HOFU ZA MAISHA, SAWA, LAKINI........Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-8229882305657956792008-12-01T07:29:00.000+03:002008-12-01T07:29:00.000+03:00Kaka,nitakuwa mgeni wako mara kwa mara kwa sababu ...Kaka,
nitakuwa mgeni wako mara kwa mara kwa sababu napenda kupanua uelewa wangu.
Nakushukuru sana nawe kwa kuwa mtembeleaji wa blog yangu.
Nakutakia kila la kheri katika shughuli zako za kila siku, afya njema na furaha.
Wanasema "success doesn't bring happiness, but happiness is a key to success."
Kazi njema kaka.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-33265621377938136542008-12-01T06:53:00.000+03:002008-12-01T06:53:00.000+03:00Ahsante kaka Mtanga kwa kunitembelea.Ukweli ni kwa...Ahsante kaka Mtanga kwa kunitembelea.
Ukweli ni kwamba nilivutiwa sana na maoni yako uliyoyatoa kwenye blog ya Yasinta Ngonyani.
Nilipoyasoma niliishiwa na maneno.
Nakukaribisha tena na tena uje tujitambue.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-50735294768985855122008-11-30T18:05:00.000+03:002008-11-30T18:05:00.000+03:00Kaka,Awali ya yote, napenda kukupongeza sana kwa k...Kaka,
Awali ya yote, napenda kukupongeza sana kwa kuwa mwanablog. Blog yako, pamoja na uchanga wake ni nzito, imesheheni fikra makini juu ya maisha.
Nilipoyasoma maoni yako kwenye blog ya dada Yasinta nilisukumwa kuzuru kijijini mwako. Kama nilivyohisi kabla sijafika, blog yako ni babkubwa. Kaza uzi kaka.
Napenda kukukaribisha kijijini kwangu, usome mashairi, ili nawe ufikiri.
Ni hayo tu!
Kazi njema.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com