tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post3327231645927164138..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: MAONI YA MUBELWA BANDIO.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-80548445195850083232008-11-24T12:07:00.000+03:002008-11-24T12:07:00.000+03:00ni maelezo mazuri na mimi sidhani kama wanaofanya ...ni maelezo mazuri na mimi sidhani kama wanaofanya yale uliyoyasema wanatafuta kujitambua ndani mwao, bali wanataka kujitambu nje yao. wanataka tuwakome na kuwatambua kwamba ni wauaji nk badala ya waowenyewe kuchagua wanavyopenda/paswa kuwa.<BR/><BR/>wanashindwa kujua kwamba wao wamekamilika na ukamilifu wa kwamnza upo ndani mwao na sio nje yao.<BR/>mdada asipoambiwa kapendeza, basi hujisikia vibaya wakti mtu wa kwanza wa kujua na kusema kama kapendeza ni yeye mwenyewe na mengine ni nyongeza ambayo haiongezi wala kubadili chochote. kimsingi tumekamilika sisi kama sisikamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com