tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post2641128779448533174..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: SISI KAMWE SIO WAKAMILIFU KAMA WENGINE HAWAJAKAMILIKA.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-66336771024911155612009-06-05T20:11:54.824+03:002009-06-05T20:11:54.824+03:00Somo lako la leo linahusu binadamu kujipenda zaidi...Somo lako la leo linahusu binadamu kujipenda zaidi kuliko mwenzake au wenzake.Kwa ujumla linazungumzia upendo na unatushauri tuwe au tujifunze kuwa na upendo.

Tatizo ni namna gani tutaurudisha au kuurejesha upendo tulokuwa nao tulipokuwa watoto.Ukienda kanisani au msikitini wao watakufundisha upendo ila watakueleza wao ni bora kuliko wengine na wanaweza wakakushauri kutokushirikiana na watu wenye imani au mtizamo tofauti na wao na wanaieleza jamii kuwa wanafundisha upendo.

Ukija kwenye siasa,shule za msingi na sekondari hadi vyuoni huduma hutolewa kwa ubaguzi wa rangi,imani na uchumi.

Je ni wapi tutakakojifunza kuwapenda wengine?frednoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-55039607849939321342009-06-03T10:45:35.253+03:002009-06-03T10:45:35.253+03:00Nimenukuu "Imefika wakati ambapo inabidi kuhe...Nimenukuu "Imefika wakati ambapo inabidi kuheshimu ubinadamu katika ujumla wake. Inabidi tujue kwamba kinachotufanya tusimame leo na kujidai, kujivuna na kujiona tu Kwa kweli bora sana ni kwa sababu kuna binadamu wengine wanaotuzunguka. Kinachotufanya leo hii tutamani kuonekana wakubwa zaidi, wenye uwezo zaidi, wenye heshima zaidi, ni kuwepo kwa biandamu wengine, kuwepo kwa wenzetu. Kwa hiyo sisi sio binadamu hata kidogo kama tunavyodhani, bila binadamu wengine kuwepo.

Mbaya zaidi ni kwamba sisi siyo binadamu kamili kama wenzetu siyo kamili. Ukamilifu wao ndio unaotupa sisi ukamilifu. Ukitaka kuthibitisha jambo hili ni rahisi sana.Hebu anza sasa kutenda yale ambayo hata wewe ungependa kutendewa na kuacha kuwatendea wengine yale ambayo hata wewe usingependa kutendewa. Nina imani baada ya muda fulani utagundua ukweli fulani."

Kwani haya maneno yako niliyonukuu hapo juu nimeyapenda Ni kweli watu wana ubinafsi/Umimi sana siku hizi. Kazi nzuri kaka Shabani.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-46728851815968900442009-06-03T02:11:02.003+03:002009-06-03T02:11:02.003+03:00Ujumbe umetuliaUjumbe umetuliachibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.com