tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post2353388832242789345..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: NI LINI INABIDI TUSEME NDOA HII SASA BASI?Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-71628842458798581932010-12-23T22:50:37.353+03:002010-12-23T22:50:37.353+03:00Ni kweli wapo wanaoishi katika ndoa ili mradi tu w...Ni kweli wapo wanaoishi katika ndoa ili mradi tu wapo pale na wengine kama wana watoto wanaishi kwa sababu ya watoto. Ni kwamba wanasahau kama wao pia wanahitaji kujijali kuwa wanahitaji upendo. Na kuna wengine wanakubali kuumia kwa sababu mke/mume ni tajiri. Wengi wanasema ndoa ni uvumilivu,usikivu nk nk. lakini ni kweli patakuja pahali itabidi iwe mwisho kwani si afya kuumia.Mmmm!! maisha haya kaazi kwelikweli.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-29682433727719929322010-12-23T17:14:51.540+03:002010-12-23T17:14:51.540+03:00Tukumbuke lakini kuangalia pia mazingira ya mtu ak...Tukumbuke lakini kuangalia pia mazingira ya mtu akuambiaye hakutaki yako vipi!. Kwa mfano kuna wenye mimba hutokea kuchukia waliowapa mimba katika kipindi cha mimba tu kutokana na mizinguo ya mimba!<br /><br />Nili kuwa na ndugu ambaye ilibidi ahame nyumba kipindi mke wake alipokuwa mjauzito kwa kuwa mkewe hata kwa kumuona tu alikuwa mpaka anatapika!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-48031786848608383392010-12-22T10:20:54.918+03:002010-12-22T10:20:54.918+03:00Jingine mtambuzi kama mmojawapo akiwa mwanga, mshi...Jingine mtambuzi kama mmojawapo akiwa mwanga, mshirikina, haifai kuishi naye...nyongeza, kwani mengi imeyaelezea, nimpenda sana hii mada. Kwani ni kweli mkioana mnakuwa kitu kimoja, lakini kuna muda `matatizo yaliyopo' yanakuwa hayavumiliki, na mkivumilia ni `hatari' ni bora `kuachana kwa wema'...!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com