tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post2045918786631489561..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: UMASIKINI SAWA, LAKINI KWA NINI TUWACHUKIE WALIOFANIKIWA?Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-77928135596651099042009-03-27T16:47:00.000+03:002009-03-27T16:47:00.000+03:00Chuki chuki, kila mtu anamchukia mwenzie, hata mas...Chuki chuki, kila mtu anamchukia mwenzie, hata masikini anamchukia masikini mwenzie.<BR/>Je huu ni uungwana?<BR/><BR/>jamani tupendane.....<BR/>Kujengeana chuki hakufai ni kujiongezea msongo wa mawazo kwani kila unavyozidi kumchukia anayefanikiwa na ndio anazidi kufanikiwa, sasa si utajinyonga bure......Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-362919916414385122009-03-27T15:32:00.000+03:002009-03-27T15:32:00.000+03:00Kuchukia mtu mwenye uwezo ni kukosa au kutotaka we...Kuchukia mtu mwenye uwezo ni kukosa au kutotaka wengine waendelee. Na hii ipo sana watu wanajengeana chuki. Kwani maisha ni kuridhika ridhika na ulichonacho kama huna uwezo sio kujenga chuki.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com