tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post1876473121237734493..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: KWA NINI MUDA UKUENDESHE?Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-32032127410879933412015-07-31T21:25:08.717+03:002015-07-31T21:25:08.717+03:00time z money jamani huwezi kufanikiwa kama hautotu...time z money jamani huwezi kufanikiwa kama hautotunza mda
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05509560357686620393noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-17677456921934423682014-05-19T22:09:54.031+03:002014-05-19T22:09:54.031+03:00Kwa yoyote anaetaka kufanikiwa ni lazima ajali swa...Kwa yoyote anaetaka kufanikiwa ni lazima ajali swala la mida, na ndio maana hao mabudha ni maskini na washamba sana, Mimi binafsi najali muda na ndio maana nafanikiwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-83778317339675790032008-12-03T18:16:00.000+03:002008-12-03T18:16:00.000+03:00Haya, The Saga Continue.Ahsante sana bwana Bwaya k...Haya, The Saga Continue.

Ahsante sana bwana Bwaya kwa mchango wako.
Naona nimechokoza hisia za watambuzi na watambuaji.
bado nahitaji changamoto zaidi.
Karibuni sana.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-40991034211956809592008-12-03T12:46:00.000+03:002008-12-03T12:46:00.000+03:00Nadhani kuna haja ya kuangalia kwa mapana zaidi ma...Nadhani kuna haja ya kuangalia kwa mapana zaidi maana hasa ya muda. Muda ni nini?

Mimi nautazama muda kama kielelezo cha badiliko. Kama hakuna badiliko maana yake hakuna muda. Kwa sababu muda maana yake ni hesabu ya tofauti ya badiliko moja na lingine.

Penye badiliko la haraka maana yake muda kwa mukhtadha huo, utakuwa mfupi kuliko penye badiliko la taratibu.

Kwa hiyo muda unatokana na badiliko.

Milele, ni dhana ya kutokuwapo badiliko. Yaani yalivyo leo, ndivyo yatakavyokuwa kesho na kesho kutwa. Kwa hivyo, muda hapo unakuwa sifuri.

Mtu anapokufa, kwake muda ni sifuri hata kama saa yake inakuwa bado inatembea. Sababu ni kwmaba mwili wake hauna badiliko lolote la kibaolojia. Na tumekwisha kutangulia kusema kwamba muda haupo bila badiliko.

Kwa hivyo, tunaweza kusema, wazo kwamba muda uligunduliwa si sahihi. Muda haukugunduliwa. Muda ulikuwapo tangu badiliko la kwanza lilipoanza. Kidini, uumbaji ulipofanyika.

KInachoonekana kugunduliwa (kwa maana ya juu juu) ni namna ya kuhutathimini muda. Kwmaba sayansi imetuwezesha kuwa na njia za kimakenika kuutathimini muda haimaanishi kwamba muda umegunduliwa.

Vile vile wazo kwamba tufanye mambo yetu bila kutilia maanani muda nadhani linahitaji kutazamwa kwa tahadhari hata kama linaonekana kuwa na mantiki kisaikolojia. Sababu ni kwamba kutathimini muda, iwe kwa kutumia njia za kimakenika ama za asili, hutusaidia kuyatekeleza majambo hayo kwa kuzingatia kuwa na sisi kama viumbe tuna badilika na kuna siku tutakoma kubadilika. Kama ingekuwa kwmaba hatubadikili, wazo la kutokuzingatia muda lingekuwa na nguvu. Lakini ni bahati mbaya kuwa sivyo ilivyo.

Tofauti ya mawazo ni msingi wa mjadala. Asante kwa kazi nzuri ya kupangilia mjadala.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-20260826686021042342008-12-03T03:48:00.000+03:002008-12-03T03:48:00.000+03:00Kazi nzuri kwa jinsi unavyoandika makala zako.tuta...Kazi nzuri kwa jinsi unavyoandika makala zako.

tutafika tuEDWIN NDAKI (EDO)https://www.blogger.com/profile/03807483223004414776noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-25196903676393057222008-12-02T20:37:00.000+03:002008-12-02T20:37:00.000+03:00Ahsnteni wote kwa maoni mazuri, Kamala, Dada Yasin...Ahsnteni wote kwa maoni mazuri, Kamala, Dada Yasinta, na Bwana Mbilinyi.
Nimefurahishwa sana na maoni yenu kwa ujumla.
Kama mkisoma makala yangu kwa makini mtaelewa nilikuwa namaanisha nini.
Sikusema ukipewa kazi na kupangiwa muda (ingawa kiutambuzi haupo)wa kukamilisha kazi hiyo basi uifanye taratiiibu bila kujali huo muda uliopangiwa. hapana sikumaanisha hivyo ndugu zangu.
Hivi, hebu tujiulize sisi sote, kabla muda haujavumbuliwa, Je wanaadamu walikuwa wanafanyaje kazi?
Je walikuwa wakipewa kazi wanafanya taratibu kwa sababu kulikuwa hakuna kitu kinachoitwa muda? au walikuwa wanafanya kazi kwa bidii bila kujali kwa sababu muda ulikuwa haujavumbuliwa?
Bado tunayo safari ndefu sana ya kujitambua, na ninaamini taratibu kwa jinsi ninavyoendelea kuelimisha juu ya maarifa haya hatimaye watambuzi watakuwa wengi.
Naomba mrejee kusoma tena na tena makala hiyo, naamini ina maarifa yatakayowasaidia kuujua ukweli huu kwamba katika utambuzi hakuna kitu kinachoitwa muda, bali kuan kukamilisha kile ulichopanga au kupangiwa kukikamilisha.

Bado nahitaji changamoto zenu.

Pamoja tunawakilishaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-68488553596907610232008-12-02T18:50:00.000+03:002008-12-02T18:50:00.000+03:00Ukweli binafasi mawazo yangu ni tofauti kwani naam...Ukweli binafasi mawazo yangu ni tofauti kwani naamini suala la muda ni muhimu sana, kwa nini kazi ya miezi 6 ufanye kwa miaka 6 na utegemee kupata mafanikio?
Suala ni kukubali kwamba tunahitaji muda tuutumikie sisi na kupanga muda kwa ajili ya familia, kpumzika, kazi na kufurahia maisha. Siyo kuwa busy tu kwa jina la muda.
Mawazo yangu tu!Lazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-23229772651125046092008-12-02T17:05:00.000+03:002008-12-02T17:05:00.000+03:00NI kweli kabisa haraka haraka haina baraka pole po...NI kweli kabisa haraka haraka haina baraka pole pole ni mwendo. Naipenda Afrika yangu hakuna mambo ya mimi nitafika kwako saa saba kamili. Kazi kweli kweliYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-40851820037170389722008-12-02T11:32:00.000+03:002008-12-02T11:32:00.000+03:00ndio maana wadhungu wanasema no hurry in africa. w...ndio maana wadhungu wanasema no hurry in africa. wazungu ni watumwa wa muda wakati waafrika ni mabwana wa muda kwamba waafrika wanamuda na kila kitu kinawezekana. hatujaumbwa kuishi kwa wasiwasi na mashaka bali kwa utulivu na upendokamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com