tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post1750645610376086255..comments2023-06-18T14:45:58.364+03:00Comments on UTAMBUZI NA KUJITAMBUA: HATIMAYE NIMERUDI, HITIMISHO LA MADA YA MUDA HILI HAPAAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-63701281920532752682008-12-12T17:51:00.000+03:002008-12-12T17:51:00.000+03:00yasinta nimekuelewa sana. yana basi limeenda barab...yasinta nimekuelewa sana. yana basi limeenda barabarani ili lipakie watu lipate pesa na kuwapeleka waendapo, harafu linawaacha hatua chache kama wewe kisa? mishale ya saa zao imezunguka, mmamaaaa yaani wanaongozwa na mishale ya saa zao. kama wanaharaka si watoke nyumbani na mabasi yao matupu wakimbie mjini wawahi muda? kama wanaharaka wanaenda kufanya nini vituoni sasa? kaluse tusaidiekamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-37722129274117713722008-12-12T06:32:00.000+03:002008-12-12T06:32:00.000+03:00Bwana ambiere Kitururu,Ukweli ni kwamba muda upo k...Bwana ambiere Kitururu,
Ukweli ni kwamba muda upo kwa wale wanamoamini na siwezi kuwalazimisha wale wanaoendeshwa na muda badala ya kujali ufanisi kukubaliana na mimi.

Labda kama wakiamini kubadilika kwa hiyari yao. Lakini mbona ni rahisi sana kuachana na yale mambo tunayoyafanya kwa mazoea, kama mtu akiamua.

ndio maana nilidokeza tangu awali katika maka yangu ya awali kuwa watu wa madhehebu ya Buddha na wale wa Kihindu kwao hawajui kuhusu muda.

Unajua ni kwa nini?

Ni kwa sababu ya kuepuka hofu na mashaka vinavyoweza kuleta misongo ya mawazo.
Kuendesha na muda ni kujitafutian presha za bure ndugu yangu.

Dada YASINTA, hao wazungu unaowasema nao washashitukia jambo hilo, ni vile tu hawawezi kubadilika kirahisi namna hiyo,
Jambo lililopandwa vichwani mwao kwa karne na karne, haiwezekani wakaliacha kwa haraka, lakini nao wameshaujua ukweli.
Ahsanteni sana kwa kutoa maoni yenu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-85625425138876885342008-12-11T11:29:00.000+03:002008-12-11T11:29:00.000+03:00Shabani! Asante sana kwa mada hii, Muda muda muda,...Shabani! Asante sana kwa mada hii, Muda muda muda, kuna marafiki zangu mara nyingi wamekuwa wakiniuliza kwa nini ninyi waafrika hamna muda yaani kama unataka kwenda kumsalimia mtu ni kwenda tu. Kwa sababu wao ni lazima kuandika kwenye kitabu na hii nimegundua kama ulivyosema wanaandika kila kitu na mwisho wanasahau kile cha muhimu. Na pia inawaletea (stress) Kwa sababu kila kitu muda hata kula chakula au kunywa chai muda. Ngoja niwachekeshe kidogo kuna siku nilikuwa naenda mjini na ilibidi nienda kwa basi lakini eeh mimi bwana mwafrika nilitembea taratibu kama mwendo wa kinyonga na nikaona kuna wengine nyuma yangu wanakimbia utafikiri wanakimbiza mwizi kumbe kuwahi basi. Ni kweli hata mimi ilibidi nikimbie basi liliniacha wakati mimi nilikuwa hatua mbili tu kisa muda wa kuondoka ulishafika. GARI HALINGOJI MTU. Sijui kama nimeeleweka! kazi kwelikweliYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-355810992072839076.post-90904782286204560242008-12-11T09:36:00.000+03:002008-12-11T09:36:00.000+03:00Nafikiri naelewa unapolenga Mkuu. Lakini naweza pi...Nafikiri naelewa unapolenga Mkuu. Lakini naweza pia kumuelewa aisiye jali muda ingawa kuna muda.

Tusije tukawa tunazinguka na tafsiri au mitazamo ya muda tu lakini!

Asante kwa ufafanuzi Mkuu!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com